KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Aprili 30, mwaka huu imepitia matukio yaliyojitokeza katika
Category: Michezo

COASTAL Union imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo mkali

LICHA ya kuonekana kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho (FA), kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ameonakana akiwa amefunga

JINA la kiungo Najimu Musa lipo mezani kwa timu za Simba, Azam na KMC huku kila timu ikihitaji saini ya mchezaji huyo kwa msimu ujao.

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage

HATIMAYE kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo

SAKATA la kipa namba moja wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya limechukua sura mpya ikiwa ni siku chache tangu nyota huyo wa zamani wa Tanzania

KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa

UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku

WAKATI tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote Tanzania