SIMBA ndiyo timu pekee ya Ligi Kuu Bara ambayo ina taji lolote hadi sasa msimu huu, japo ukimweleza hilo shabiki wa Wekundu wa Msimbazi atakuona
Category: Michezo

HATIMAYE Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurudi Ligi Kuu Bara tangu ishuke daraja 2001. Klabu hiyo ambayo sasa inatambulika kama Pamba Jiji, imepanda baada ya ushindi

Kwa namna Simba ilivyokuwa rahisi kuruhusu mabao msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, beki wa zamani wa timu hiyo, Boniface Pawasa amesema msimu ujao

Siku moja baada ya kuachana na kocha wake Abdelhak Benchikha Simba inarudi uwanja kwenye uwanja mgumu ugenini itakapokutana na wabishi Namungo ya Lindi. Simba baada

LICHA ya Simba kutajwa timu yenye mafanikio kwenye miaka ya hivi karibuni kutokana na rekodi nzuri kimataifa ikiwa namba tano kwa ubora Afrika ndio timu

BAADA ya Abdelhak Bechikha kuachana na Simba kwa kile kilichotajwa ana matatizo ya kifamilia, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema tatizo la

SIMBA ndio mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Muungano, iliyoshirikisha timu nne zikiwamo Azam, KMKM na KVZ. Michuano hiyo ilifikia tamati rasmi juzi visiwani

TANGU kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar, michezo imekuwa ni moja ya shughuli muhimu zinazochochea kuimarika kwa Muungano kwa kukutanisha wananchi wa pande zote mbili na

TULISHAMALIZANA na cheche za Abdelhak Benchikha. Ameondoka Msimbazi. Tuliambiwa juzi usiku na jana tumejadili suala lake. Labda jambo ambalo mashabiki wamekuwa wakijiuliza ni namna gani

Baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha kuondoka, hatimaye timu hiyo sasa imebaki chini ya Juma Mgunda na Selemani Matola, lakini kuna maswali