CHANGAMOTO katika maisha ni vitu vya kawaida, lakini kuna nyingine huwa zinakatisha tamaa na kama mtu ana roho ndogo ni ngumu kutoboa. Hutokea bahati tu,
Category: Michezo

KOCHA Msaizidi wa Simba, Seleman Matola ameachiwa msala wa kuiongoza timu hiyo kati-ka mechi zilizosalia na Ligi Kuu Bara ikiwamo wa keshokutwa dhidi ya Namungo,

Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger ya Algeria imegoma kuingiza timu kwenye Uwanja wa Berkane Municipal kwa ajili ya mchezo wa nusu

Hatimaye Simba imerejesha kocha mzoefu, Juma Mgunda kwenye kikosi hicho muda mchache baada ya Abdelhack Benchikha na wasaidizi wake kutimka. Tetesi zilianza kuzagaa wiki nzima

KLABU ya Simba imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae Kombe la Muungano lililohitimishwa

‘Tanzania tunaitaka Chunya’. Ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarack Batenga akielezea Ken Gold kutumia Uwanja wa Chunya kwa ajili ya mechi zao

TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao

HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua

WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye

KLABU ya Simba muda wowote kuanzia sasa itatangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae