AZAM imecheza mechi 11 bila ya mshambuliaji asilia, kutokana na Allasane Diao kuwa majeruhi, huku Prince Dube akiisusa timu akilazimisha kuondoka, lakini hilo halijaizuia timu
Category: Michezo

NIDHAMU nzuri ya kujilinda kwa vijana wa Malale Hamsini, JKT Tanzania ni miongoni mwa mambo ambayo yaliifanya Yanga kuwa na wakati mgumu kuifungua ngome ya

AZAM FC imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya beki kiraka, Natahaniel Chilambo lakini wakati hilo likitokea, Ihefu imeibuka ghafla na kuonyesha nia ya kumhitaji mlinzi

Na Mwandishi W doetu Serikali ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi. Hayo

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC leo wameingia mkataba wa miaka miwili wa ushirika na shirika la ndege la Air Tanzania(ATCL). Katika ushirika huo

Dar es Salaam. Mkemia Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Dk Fidelice Mafumiko amesema uwepo wa mwongozo wa usimamizi kemikali

Ikiwa Silent Ocean ltd ‘Simba wa Bahari’ kutangaza Good news ya kuwarahisishia wateja wao wote pindi wanapoingia nchini China kwaajili kufanya manunuzi ya bidhaa zao

WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya

DUNIA imejaa warembo kibao wanaotwanga makonde kama Natasha Jonas, Amanda Serrano au yule Claresaa Shield na ukiwakuta nje ya ulingo katika mitoko yao mingine, katu

ILIKUWA Juni 16, 1983 katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani, Billy Collins Jr akiwa na baba yake aliyekuwa bondia wa zamani,