Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba, amesisitiza umuhimu wa taaluma ya ununuzi na ugavi kama msingi wa
Category: Michezo
BEKI Mtanzania, Abdi Banda amevunja mkataba na Baroka FC ya Afrika Kusini ikiwa miezi mitatu tangu ajiunge na timu hiyo inashiriki Ligi ya Championship. Nyota
Hakuna timu inayoweza kuvuna pointi tatu kirahisi wakati Yanga itakapoikaribisha Mashujaa FC leo katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge kuanzia saa 10:00 jion Timu zote
Mshambuliaji wa Simba, Lionel Ateba amebakisha mabao mawili tu kumfukia kinara wa ufungaji kwenye Ligi Kuu ya NBC, Elvis Rupia baada ya jana kuiongoza timu
WINGA wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor kwa namna alivyoifuatilia Ligi Kuu Bara, amesema ameuona ushindani ambao mchezaji anayejituma unamjengea heshima mbele ya wadau wa
STRAIKA wa zamani wa Yanga aliyekuwa akikipiga Singida Black Stars kabla ya kutemwa mapema wiki hii, Joseph Guede amefunguka sababu zilizomwondoa ndani ya kikosi hicho,
JANA Ellie Mpanzu hakuanza na wala hakuwa katika benchi la kikosi cha Simba kilichovaana na Ken Gold wakati wa pambano la Ligi Kuu Bara, tofauti
YANGA iliuhama Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo dhidi ya Azam FC na Tabora United na leo itacheza kwa
YANGA imekuwa ikipitia kipindi kigumu kwa siku za karibuni baada ya kukosa matokeo mazuri kwenye mechi zake huku Ligi ya Mabingwa Afrika ikiburuza mkia Kundi
UKUTA wa Yanga kwa sasa kuna mabeki wawili wa kati wa maana Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ na nahodha msaidizi, Dickson Job ambao wanaibeba timu hiyo katika