LEO saa 4:00 asubuhi katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo ilipigwa mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens ikiwa nyumbani na kuondoka na
Category: Michezo

Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana

KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amemuanzisha kipa Ayoub Lakred katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani zao, Yanga. Ayoub aliyesajiliwa na timu hiyo

BAADA ya kukosekana katika michezo minne iliyopita sawa na dakika 360, hatimaye beki wa kulia wa Yanga, Attohoula Yao amerejea uwanjani kwa kupangwa kuanza katika

SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo

Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa. Wakati

Wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kutakuwa na Dabi ya Kariakoo, ikiwa ni dabi ya tano Afrika kwa ukubwa, macho

SIKU chache baada ya Kamati ya Nidhamu ya Singida Fountaine Gate kumuandikia barua kipa wao, Beno Kakolanya kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za kutoroka

YANGA inashuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11:00 jioni kupambana na watani zao, Simba, huku timu hiyo ikiwa na rekodi bora msimu huu wakati

LICHA ya uchache wa mashabiki kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba unaotarajiwa kupigwa saa 11:00 jioni, usalama umeimarishwa kila kona.