Achana na Kariakoo Dabi itakayopigwa kuanzia saa 11:00 jioni kwa vigogo Simba na Yanga kuvaana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja kabla huko Lubumbashi,
Category: Michezo

Achana na burudani wanayopata mashabiki wa soka nchini inapokuja Dabi ya Kariakoo, lakini ukweli, pambano hilo la watani wa jadi nchini, limekuwa na neema kubwa

MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa

KESHO Jumapili Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu za matumaini ya kubaki Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Abdulshahib Hegga ‘GB64’ kwa tuhuma za kuhamasisha watu kufanya vurugu katika mchezo wa Ligi Kuu

Mastaa waliowahi kuzichezea Simba na go Yanga wametoa utabiri wa mechi ya Kariakoo Dabi ya Ligi Kuu Bara inayopigwa kesho, Jumamosi, uwanjani Benjamin Mkapa, wengi

MASHABIKI wa Simba na Yanga tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa

JUMAMOSI ya wiki hii, inapigwa Kariakoo Dabi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kuanzia

ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo

AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi