SIMBA imeanza safari ya kurejea juu ya msimamo baada ya kuichapa timu ya mkiani ya Ken Gold kwa mabao 2-0, shukrani kwa mabao mawili ya
Category: Michezo
RAUNDI ya tano ya Linar PG Tour inatarajiwa kuanza kesho kwenye viwanja vya Dar Gymkhana, kuhitimisha michuano ya gofu ya mwaka huu, huku mshindi akiondoka na
WAKATI kikosi cha KenGold kikiwa na mchezo jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, mabosi wa timu hiyo tayari wameanza hesabu za kukinusuru mkiani,
KOCHA wa Fountain Gate, Mohammed Muya amesema hana wasiwasi licha ya kuwapo kwa taarifa ya nyota wawili wa kikosi hicho wanaoongoza kwa mabao, Seleman Mwalimu
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amefunguka kuwa changamoto kubwa ambayo anazidi kupambana nayo katika timu hiyo ni upungufu katika safu ya ushambuliaji. Coastal juzi
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi
KAGERA Sugar imeanza msako mapema katika harakati za kukiboresha kikosi chao ikisaka wachezaji wa nne waliotokana na ripoti ya kocha wao Melis Medo. Medo amewasilisha
BAADA ya wekundu wa Msimbazi, Simba kuwa na siku 18 za uwakilishi wa nchi katika michuano ya kimataifa, hatimaye wanarejea uwanjani katika hekaheka za Ligi
BAADA ya kufanyika tathimini ya washambuliaji wa Yanga kile walichokifanya msimu huu hadi sasa dirisha dogo limefunguliwa, ni wazi uamuzi unaokwenda kufanyika katika eneo hilo
Dirisha dogo la usajili tayari limekwisha kufunguliwa tangu Desemba 15, klabu mbalimbali zimeanza kufanya maboresho ya timu zao ili kuongeza nguvu na kufanya vizuri nmzunguko