KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amefunguka kuwa changamoto kubwa ambayo anazidi kupambana nayo katika timu hiyo ni upungufu katika safu ya ushambuliaji. Coastal juzi
Category: Michezo
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi
KAGERA Sugar imeanza msako mapema katika harakati za kukiboresha kikosi chao ikisaka wachezaji wa nne waliotokana na ripoti ya kocha wao Melis Medo. Medo amewasilisha
BAADA ya wekundu wa Msimbazi, Simba kuwa na siku 18 za uwakilishi wa nchi katika michuano ya kimataifa, hatimaye wanarejea uwanjani katika hekaheka za Ligi
BAADA ya kufanyika tathimini ya washambuliaji wa Yanga kile walichokifanya msimu huu hadi sasa dirisha dogo limefunguliwa, ni wazi uamuzi unaokwenda kufanyika katika eneo hilo
Dirisha dogo la usajili tayari limekwisha kufunguliwa tangu Desemba 15, klabu mbalimbali zimeanza kufanya maboresho ya timu zao ili kuongeza nguvu na kufanya vizuri nmzunguko
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Alassane Diao, amerejea kwenye kikosi hicho kwa kufunga bao baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi tisa. Diao raia wa Senegal,
MSHAMBULIAJI wa Namungo raia wa DR Congo, Fabrice Ngoy amesema ushindi wa mabao 3-2, dhidi ya KenGold, kwa kiasi kikubwa umewapa motisha ya kuendelea kupambana
Stone Town ya Zanzibar imeifunga Vikapu ya Kenya kwa pointi 52-16, katika fainali ya wachezaji wa umri wa miaka 18, iliyomalizika katika viwanja vya kituo
LICHA ya kupata ushindi wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji, lakini Kocha wa KMC, Kally Ongala amesema hajaridhika na kiwango