KMC chini ya Kocha Kally Ongala, imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Desemba
Category: Michezo
Kipa wa Namungo raia wa DR Congo, Erick Molong amesema hafurahishwi na maisha anayoishi kikosini humo akieleza kuwa msimamo wake ni kuachana na timu hiyo
Mabao mawili ya Marouf Tchakei dakika ya 47 na Kennedy Juma dakika ya 58, yametosha kuipa pointi tatu Singida Black Stars ikiizima Tanzania Prisons na
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa), Elias Mwanjala, ameonyesha kusikitishwa na timu alizoziacha kwenye ramani za mpira kupotea na zilizopo kuchechemea.
KATIKA kuimarisha zaidi kikosi chake, kocha mkuu wa Tabora United, Anicet Kiazmak ameagiza mashine sita kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ili kuongeza nguvu
WAKATI KenGold ikianza kusuka kikosi chake kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, timu hiyo inakabiliwa na ratiba ngumu katika michezo mitano kupambania nafasi ya
Na Kassim Nyaki, Ngorongoro Crater. Tarehe 15 Desemba 2024 Kreta ya Ngorongoro imepambwa na tukio adhimu na la kihistoria la maharusi wa Kitanzania kufunga ndoa
Klabu ya Simba imetoa taarifa baada ya tukio la jana la vurugu kwenye Uwanja wa Mkapa, mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika
Kitendo cha kikundi cha mashabiki wa CS Sfaxien kupeperusha bendera za Palestina katika mechi yao dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huenda kikaiponza
Picha za matukio mabalimbali ya vurugu baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliowahusisha wenyeji Simba SC dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia uliochezwa