Katika Ligi Kuu Bara msimu huu mpaka sasa huenda ushindi wa mabao 3-1 wa Tabora United mbele ya Yanga katika Uwanja wa Chamazi jijini Dar
Category: Michezo
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung’olewaji wa viti
YANGA imerejea asubuhi ya jana ikitokea Lubumbashi, DR Congo ilikopata pointi moja ya kwanza karika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku kocha
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV VURUGU kubwa ambazo zilitokea katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam wakati Timu ya Simba ikicheza na Timu ya
BAO la dakika za lala salama lililofungwa na Kibu Denis limegeuka chanzo cha vurugu kubwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, baada ya Simba SC kuibuka
‘SIMBA ndo zetu… Simba Ubaya Ubwela…Simba ndo zetu…’ Ni baadhi ya nyimbo zilizokuwa zikiimbwa na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakifurahia ushindi
MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ huenda akauwahi mchezo wa keshokutwa Jumanne kati ya timu hiyo na Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex,
Dar Kings imeendelea kufunika katika Ligi ya TCA kwa vijana wa umri chini ya miaka 17, kwenye viwanja vya UDSM na Dar Gymkhana, baada ya
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Azam FC kutoka kwa Nyuki wa Tabora United, kimemchefua kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi, akisema kimewatibulia malengo, lakini akiwatia