Dar Kings imeendelea kufunika katika Ligi ya TCA kwa vijana wa umri chini ya miaka 17, kwenye viwanja vya UDSM na Dar Gymkhana, baada ya
Category: Michezo
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Azam FC kutoka kwa Nyuki wa Tabora United, kimemchefua kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi, akisema kimewatibulia malengo, lakini akiwatia
LICHA ya kutangulia kwa mabao mawili ndani ya dakika 10 za pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, timu ya KenGold imejikuta ikiduwazwa na
KICHAPO cha mabao 4-0 ilichopata Maafande wa Polisi Tanzania dhidi ya Mbeya City juzi, kimeonekana kumchanganya kocha wa timu hiyo, Bernard Fabian ambaye ameweka wazi
KITENDO cha washambuliaji wa Songea United, Cyprian Kipenye na Ramadhan Kipalamoto kupitia changamoto ya kutokufunga kwa takribani michezo minne ya kikosi hicho, imemuibua kocha mkuu
KAIMU Kocha Mkuu wa Transit Camp, Emmanuel Mwijarubi amesema katika dirisha hili dogo la usajili timu hiyo inahitaji kuongeza nyota wanne katika nafasi mbalimbali, zitakazowasaidia
NYOTA wa gofu kutoka klabu mbalimbali nchini wanaanza kuwasili Dar kuanzia leo kushiriki mashindano ya Lina PG Tour yanayokamilisha raundi ya tano, kwenye viwanja vya
BAADA ya ushindi mnono ilioupata Mbeya City wa mabao 4-0 juzi dhidi ya Polisi Tanzania, kocha msaidizi wa kikosi hicho, Juma Bukoli amesema kwa sasa
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza maelfu ya wanariadha wa mbio za Rombo Marathon 2024, zinazoenda sambamba na tamasha ya
TANZANIA imeunga mkono ombi la Kenya linalokitaka Chama cha Mbio za Magari Duniani (FIA) kupunguza ada ya kibali cha kuandaa mbio za ubingwa wa Afrika