TANZANIA imeunga mkono ombi la Kenya linalokitaka Chama cha Mbio za Magari Duniani (FIA) kupunguza ada ya kibali cha kuandaa mbio za ubingwa wa Afrika
Category: Michezo
WAKATI dirisha la usajili likifunguliwa rasmi jana kwa ajili ya klabu kufanya maboresho mbalimbali, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’, amesema atazingatia maeneo
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kushuhudiwa viwanja viwili vikiwaka moto, jijini Mbeya kuna pambano la vibonde wa ligi hiyo, wakati jijini
UKISIKI Jumapili maalumu, basi ndiyo leo. Ndio leo ni Sunday Spesho kweli kweli kutokana na mechi za maana zitakazopigwa kuanzia hapa nyumbani Tanzania hadi barani
TOFAUTI na matarajio ya viongozi na hata mashabiki na wapenzi wa Simba wakati anasajiliwa, ukweli ni kwamba Mzambia Joshua Mutale anahesabu siku tangu dirisha dogo
MASHABIKI wa Yanga wamegawanyika kimtindo kwa sasa juu ya usajili wa beki mpya wa kulia Israel Mwenda aliyesajiliwa kwa mkopo akitokea Singida Black Stars, lakini
YANGA imesaliwa na dakika 270 za kufa au kupona kama inataka kwenda robo fainali kutoka Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya jana
BAO la dakika za jioni lililowekwa kimiani na mshambuliaji aliyetokea benchi, Prince Dube imeiokoa Yanga isife ugenini jijini Lubumbashi, DR Congo baada ya kulazimisha sare
MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke, Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano
KOCHA wa KMC, Kally Ongala, amesema anahitaji kufanya kazi kubwa ili kuhakikisha kikosi chake kinapata makali ya kutosha na kufanya vizuri katika michezo ijayo ya