UKISIKI Jumapili maalumu, basi ndiyo leo. Ndio leo ni Sunday Spesho kweli kweli kutokana na mechi za maana zitakazopigwa kuanzia hapa nyumbani Tanzania hadi barani
Category: Michezo
TOFAUTI na matarajio ya viongozi na hata mashabiki na wapenzi wa Simba wakati anasajiliwa, ukweli ni kwamba Mzambia Joshua Mutale anahesabu siku tangu dirisha dogo
MASHABIKI wa Yanga wamegawanyika kimtindo kwa sasa juu ya usajili wa beki mpya wa kulia Israel Mwenda aliyesajiliwa kwa mkopo akitokea Singida Black Stars, lakini
YANGA imesaliwa na dakika 270 za kufa au kupona kama inataka kwenda robo fainali kutoka Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya jana
BAO la dakika za jioni lililowekwa kimiani na mshambuliaji aliyetokea benchi, Prince Dube imeiokoa Yanga isife ugenini jijini Lubumbashi, DR Congo baada ya kulazimisha sare
MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke, Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano
KOCHA wa KMC, Kally Ongala, amesema anahitaji kufanya kazi kubwa ili kuhakikisha kikosi chake kinapata makali ya kutosha na kufanya vizuri katika michezo ijayo ya
AZAM FC jana jioni ilikuwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kumenyana na Tabora United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku nyuma kocha wa
KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amewaka na kusema ushindi iliyoupata timu hiyo juzi dhidi ya Azam FC, haukutokana na makosa ya kipa wa
YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani jioni ya leo ikiwa ugenini DR Congo kuumana na TP Mazembe, huku Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiwapangia mwamuzi kutoka Benin,