Fountain Gate iko hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki na nahodha wa Coastal Union, Jackson Shiga ili kuongeza makali ya safu ya
Category: Michezo
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kujiandaa kuikabili CS Sfaxien katika mechi ya tatu ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kesho Jumapili, lakini habari njema kwa Wanamsimbazi
BAADA ya kumvuta kikosini beki wa zamani wa Simba aliyekuwa akiitumikia Singida Black Stars, Israel Mwenda, mabosi wa Yanga ni kama inafanya komoa sasa, baada
Zanzibar 13 Disemba, 2024 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kumpangia Balozi kituo cha kazi. Kwa
BAADA ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda.
STRAIKA wa Singida Black Stars, Elvis Rupia juzi alifunga mabao mawili wakati timu hiyo ikiizamisha Dodoma Jiji kwa mabao 2-1, huku mwenyewe akisema ana imani
LILE sakata la Aisha Mnunka na klabu yake limepatiwa ufumbuzi baada ya pande hizo mbili kukutanishwa katika kikao cha Kamati ya Sheria na Hadhi ya
DODOMA Jiji jana ilipokea kipigo cha mabao 2-1 kikiwa ni cha sita katika Ligi Kuu Bara kutoka kwa Singida United, lakini kocha wa kikosi hicho
KOCHA Mkuu wa African Sports ‘Wanakimanu manu’, Abdallah Kessy ametoa sababu zinazowakwamisha kupata matokeo mazuri katika Ligi ya Championship, huku akisisitiza bado hajaikatia tamaa timu
SAFARI ya Geita Gold kurudi Ligi Kuu inazidi kupamba moto, huku uongozi wa klabu hiyo ukitamba unataka kutumia dirisha dogo kushusha wachezaji watano wa maana