MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole yuko hatua za mwisho ili kujiunga na Singida Black Stars kwa mkopo wa miezi sita, baada ya uongozi wa
Category: Michezo
ALIYEKUWA kocha mkuu wa TMA, Maka Mwalwisi amesema sababu kubwa za kuamua kuachana na kikosi hicho cha jijini Arusha ni kutokana na baadhi ya viongozi
MWENYEKITI wa Geita Gold, Leonard Bugomola amesema moja ya malengo waliyompa kocha mpya wa timu hiyo, Mohamed Muya ni kuhakikisha kikosi hicho kinacheza Ligi Kuu
KINDA wa Yanga, Shaibu Mtita anayekipiga Wakiso Giants ya Uganda ameingia kwenye kikosi bora cha raundi ya 15 baada ya kufanya vizuri kwenye nusu ya
WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi ya Wanawake ya Mexico kila mmoja ameanza msimu mpya kama walivyomaliza msimu uliopita.
STRAIKA wa zamani wa Fleetwoods United FC, Mgaya Ally iliyokuwa inashiriki Ligi Darala la Pili UAE yuko Bongo akiwindwa na Coastal Union ya Tanga. Nyota
JKT Queens kama ilivyo kawaida yake ya kusajili wachezaji chipukuzi ambao wanafanya vizuri, tayari imenasa saini za wachezaji wapya wawili makinda wenye vipaji. Wachezaji hao
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitano, hatimaye straika wa Simba Queens, Aisha Mnunka amekubali yaishe na kuingia kambini na wenzake. Agosti
BAADA ya kushusha majembe matatu kwenye dirisha dogo la usajili, Yanga Princess imesema bado wengine wanakuja. Hadi sasa Yanga imetambulisha wachezaji watatu kutoka Get Program,
WAKATI kikosi cha Azam FC kikiendelea kujifua ili kujiweka fiti kwa ngwe ya lalasalama ya Ligi Kuu Bara itakayorejea Machi Mosi, inaelezwa kwamba beki wa