KLABU ya Kagera Sugar iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa winga wa Singida Black Stars, Edmund John kwa mkopo wa miezi sita,
Category: Michezo
MIEZI michache baada ya aliyekuwa mfadhili na Rais wa Biashara United, Revocatus Rugumira kujiweka kando na kuirejesha timu hiyo kwa wananchi mambo yameanza kuwa magumu
UNAWEZA kuhisi kama ni utani lakini ndiyo uhalisia, kiungo Kelvin Nashoni na beki Israel Mwenda wanajiunga rasmi na Yanga wakitokea Singida Black Stars ikitajwa ni
PAMBA Jiji ipo kwenye hatua za mwisho za kumalizana na kiungo wa zamani wa Simba, Mzambia Rally Bwalya akitokea Napsa Stars FC ya Zambia. Timu
BEKI wa kati raia wa DR Congo, Heritier Lulihoshi ni kama amejishtukia baada ya kusema anahitaji muda zaidi wa kuonyesha kiwango chake, licha ya kukiri
MSAFARA wa kikosi cha Yanga wenye wachezaji 25 kimeondoka mchana wa leo kwenda Lubumbshi, DR Congo, tayari kwa ajili ya mechi ya tatu ya Kundi
HUKO mtaani kwa sasa mashabiki wa Simba wanatambia mziki wa kikosi walichonacho, lakini kwa kocha Fadlu Davids hali ni tofauti kwani, ameshtukia jambo analoamini likifanyiwa
Timu za Tabora United na Azam FC ambazo ndio timu pekee zilizoifunga Yanga kwa msimu huu zimetambiana kueleeka mchezo wa Ligi kuu bara utakaochezwa leo
Dar es Salaam. Sinza ni miongoni mwa maeneo maarufu na yenye pilikapilika nyingi katika Jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Ripoti ya Sensa
KALLY Ongala ambaye ni Kocha Mkuu wa KMC, amefanikiwa kuiongoza timu hiyo kupata pointi moja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa uliochezwa