KALLY Ongala ambaye ni Kocha Mkuu wa KMC, amefanikiwa kuiongoza timu hiyo kupata pointi moja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa uliochezwa
Category: Michezo
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor ambaye tangu asajliwe dirisha kubwa la msimu huu hajaonekana uwanjani, inaelezwa huenda akaanza kuitumimi imu hiyo jkatika mechi
BEKI wa kati wa Simba, Hussein Kazi amesema kukaa benchi kunahitaji roho ngumu kwa kiu ya mchezaji yeyote ni kuona anacheza, lakini amekiri uwezo wa
HUKO mtaani kama unataka kuwakata stimu mashabiki na wapenzi wa Yanga kukumbushia vipigo viwili mfululizo vilivyoitibulia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara. Kama umesahau, baada
YANGA imeendelea na mipango ya kukisuka kikosi kwa ajili ya mechi za michuano mbalimbali inatoshiriki, ikielezwa imerudi kwa kipa wa Pamba Jiji, Yona Amos ili
LILE sakata linalomhusu beki wa Coastal Union dhidi ya klabu ya Simba limechukua suira nyingine baada ya leo Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji
STRAIKA nyota wa Singida Black Stars, Elvis Rupia mchana huu ametupia mbaoa mawili wakati timu hiyo ikiinyoa Dodoma Jiji 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu
LIGI ya Championship inatarajiwa kuendelea tena kesho Ijumaa kwa timu za Polisi TZ kuwa weageni wa Mbeya City, huku wenyeji wakipigwa mkwara mzito kwamba lazima
KUNA mambo tunatarajia kuyaona yakifanywa na sisi hapa kijiweni lakini inapofikia hatua unayaona kwa watu ambao hawakupaswa kuyafanya kutokana na nafasi zao au taasisi walizopo
Dar es Salaam. Upande wa Jamhuri umesema upelelezi unaendelea katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wanaodaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi