MAKATIBU wakuu wa vyama vya michezo vinavyoshiriki Olimpiki wametakiwa kuanza kuweka mikakati ya maandalizi ili timu zao ziweze kushiriki kwenye Olimpiki ya 2028. Michezo hiyo
Category: Michezo
MABOSI wa Yanga wameamua, baada ya jana asubuhi kumtambulisha beki wa pembeni, Israel Mwenda na beki huyo kuibukia mazoezini, sasa inaelezwa kuna fundi mwingine wa
Dar es Salaam. Baada ya kucheza dakika 360 bila kushinda kwenye michezo minne iliyopita ya Ligi Kuu Bara, Singida Black Stars leo Alhamisi itajiuliza ikiwa
KWA nini Yanga imemsajili Israel Patrick Mwenda? Wameona nini kwake? Usajili wake una maanisha nini na je ataweza kupindua meza baada ya kushindwa mbele ya
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga
MABOSI wa Yanga wameamua, baada ya jana kumtambulisha beki wa pembeni, Israel Mwenda na Mwanaspoti linakudadavulia kwa nini klabu hiyo imemnyakua beki huyo aliyeibuka mazoezini
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Yanga Abdulrhman Munelo amezikwa kwenye makaburi ya Mbagala Kingugi. Mazishi hayo yaliyohudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali Yanga
Dar es Salaam. Kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa leo Desemba
BAADA ya tetesi kuibuka kuwa beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anatajwa kujiandaa kutua Yanga, mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi dhidi
NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano au