WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi ya Wanawake ya Mexico kila mmoja ameanza msimu mpya kama walivyomaliza msimu uliopita.
Category: Michezo
STRAIKA wa zamani wa Fleetwoods United FC, Mgaya Ally iliyokuwa inashiriki Ligi Darala la Pili UAE yuko Bongo akiwindwa na Coastal Union ya Tanga. Nyota
JKT Queens kama ilivyo kawaida yake ya kusajili wachezaji chipukuzi ambao wanafanya vizuri, tayari imenasa saini za wachezaji wapya wawili makinda wenye vipaji. Wachezaji hao
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitano, hatimaye straika wa Simba Queens, Aisha Mnunka amekubali yaishe na kuingia kambini na wenzake. Agosti
BAADA ya kushusha majembe matatu kwenye dirisha dogo la usajili, Yanga Princess imesema bado wengine wanakuja. Hadi sasa Yanga imetambulisha wachezaji watatu kutoka Get Program,
WAKATI kikosi cha Azam FC kikiendelea kujifua ili kujiweka fiti kwa ngwe ya lalasalama ya Ligi Kuu Bara itakayorejea Machi Mosi, inaelezwa kwamba beki wa
MAAFANDE wa Tanzania Prisons wamekamilisha taratibu za kumsajili beki wa kati Athuman Sufian Mwemfua (23) kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Junguni United ya Ligi
CHAMA cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro kimepata mabosi wapya baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi ya
SERIKALI imewataka mapromota kuhakikisha wanakuwa na ripoti ya afya kwa mabondia kabla ya kuingia makubaliano ya kusaini mikataba ya kucheza mapambano. Kauli hiyo imetolewa leo
WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika