PAMBA Jiji ipo katika hatua za mwisho kumalizana na beki wa zamani TP Mazembe, Chongo Kabaso raia wa Zambia kuja kuimarisha safu yake ya ulinzi.
Category: Michezo
BAADA ya FIFA kuifungia Mtibwa Sugar kusajili kutokana na kutomlipa kipa Justin Ndikumana aliyekuwa akiidakia timu hiyo. msemaji wa klabu hiyo Thobias Kifaru, amesema watakaa
IMEELEZWA endapo makubaliano ya kimaslahi yakienda sawa baina ya timu ya Mashujaa FC na AS Vita ya DR Congo basi dili la mshambuliaji Ismail Mgunda
KIUNGO mshambuliaji, Rabbin Sanga, amekamilisha uhamisho wa mkopo wa miezi sita kujiunga na Tanzania Prisons akitokea Singida Black Stars, hatua iliyofanywa na mabosi wa maafande
RAFIKI yetu Nasreddine Nabi wakati anakuja nchini kwa mara ya kwanza kufanya kazi ya kuinoa Yanga, hakukuwa na mbwembwe wala hekaheka nyingi za vyombo vya
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limepanga kuanza mapema maandalizi ya duru la pili la Ligi Kuu Bara wiki ijayo baada ya kuwapa mapumziko ya
UHONDO wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 hatua ya makundi inahitimishwa usiku wa leo kwa mchezo utakaowakutanisha wenyeji, Zanzibar Heroes dhidi ya Harambee Stars
KIKOSI cha Yanga tayari kimeshatua Mauritania tayari kwa ajili ya pambano la raundi ya tano la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Kundi A dhidi ya
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameendelea kuwa gumzo kwa mashabiki na wadau wa soka kutuokana na kiwango kizuri alichokionyesha hadi sasa katika mechi za mashindano
YANGA imekuwa ikitajwa kutaka kumtema mshambiliaji Jean Baleke, lakini inaelezwa hadi sasa mambo bado magumu kutokana na kuwepo kwa vipengele vinavyoufanya mkataba baina yao usivunjike