Dodoma. Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba ametaja mambo ambayo yakifanyiwa kazi mapema yatawezesha wananchi wengi kushiriki uchaguzi na kuwapata viongozi wanaowataka kuwawakilisha kwenye vyombo
Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Mwakilishi kutoka Kampuni ya META Issa Mndeme amesema wapo katika hatua ya utiaji saini ya makubaliano ya ukodishaji na uuzaji
Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na mlezi wa timu ya Pamba Jiji, Said Mtanda amesema hatamvumilia mtu yeyote atakayeingiza U-Simba na U-Yanga ndani ya
Dar es Salaam. Taasisi isiyo ya kiserikali ya The Legal Services Facility (LSF), kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania, zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, ameanza majukumu yake ndani ya kikosi hicho kwa kuambulia sare katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi
Hanang. Wakazi wa Kijiji cha Gocho kilichopo Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamekumbwa na taharuki baada ya Mlima Hanang kumeguka na kusababisha mafuriko na kuharibu
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WASOMI wametakiwa kuchukua jukumu na kuendeleza tafiti ambazo zitachapishwa katika kanzi data za kimataifa kwa lengo la kutatua changamoto zinazoikabili
Mashabiki wa Simba wamepata mzuka upya wakiwa na matumaini makubwa kwa kocha wa timu hiyo Juma Mgunda ambaye anasaidiana na Selemani Matola. Mgunda ambaye alikuwa
DEBLINKZ ni wasanii wawili walioamua kuungana pamoja na kutengeneza kundi la muziki kutoka nchini Nigeria wakiwa wanafahamika kwa majina halisi kama Onyekachi na Onyebuchi Ikeh
Arusha. Serikali inatarajia kuzindua Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika Mkoa wa Arusha kufikia Julai Mosi, 2024 ili kuondoa urasimu wanaokumbana nao wawekezaji. Kauli hiyo