Morogoro. Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amewataka watetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuongeza kasi ya
UONGOZI wa klabu ya Yanga umefanya uamuzi mgumu kwa nyota wake wawili wa nafasi ya ulinzi ya beki ya kushoto, Joyce Lomalisa Mutambala na Nickson
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Barrick chini kupitia migodi yake ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi
Bwawa hilo la Kijabe linakiswa kuvunja kingo zake mwendo wa saa nane usiku wa kuamkia leo jumatatu baada ya kushiba mvua kubwa inayozidi kunyesha. Maji
Dar es Salaam. Tume ya Nguvu za Atomic Tanzania (TAEC) imezuia matukio 17 yaliyohusiana na mionzi ambayo yalikuwa na uwezekano wa kuleta madhara makubwa kwa
USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata timu ya JKT Tanzania leo dhidi ya Mtibwa Sugar umewafanya mastaa wa timu hiyo kushinda bonasi ya Sh20 milioni kutoka
29.04.202429 Aprili 2024 Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amewatolea mwito wanamgambo wa kundi la Hamas kukubali pendekezo la Israel la kuwaachilia
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kuziwezesha nchi za Afrika kuwa na maendeleo shindani duniani, ni muhimu taasisi za fedha za kimataifa
SIMBA Queens imeendeleza ubabe na kugawa dozi baada ya kuichapa JKT Queens mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ikiwa juzi tu imetoka kumchapa
Kauli hiyo ya Misri imetolewa leo na Waziri wake wa Mambo ya Nje, Sameh Shoukry, kando ya mkutano wa Jukwaa la Kiuchumi la Dunia unaoendelea