Dodoma. Baada ya malalamiko ya wafanyakazi kuhusu kanuni mpya za kikokotoo cha mafao ya mkupuo, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema limewasilisha maoni
BAO la Paul Peter limetosha kuipandisha Dodoma Jiji kwa nafasi tatu juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kutoka nafasi ya 10 hadi ya nane
Israel. Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mama yake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi la anga la Israel kusini mwa Gaza amefariki dunia. Mtoto huyo wa
HESABU za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku wagosi
Dodoma. Ili kuuenzi vema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka somo hilo, litakalofundishwa shuleni kuanzia ngazi za chini katika pande zote
SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja
Njombe. Wakazi wa mitaa ya Igangidung’u na Maguvani Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Njombe, wameiangukia Serikali ikamilishe ujenzi wa daraja lililoanza kujengwa tangu
Wanadiplomasia wakuu wa nchi za Kiarabu na Ulaya wanatarajiwa kuanza kuwasili katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, mwishoni mwa wiki hii kushiriki mkutano wa
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 162 vilivyotokana na janga la mafuriko linalosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, janga hilo ni sehemu
ACHANA na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz