Zaidi ya nusu ya wakaazi wapatao milioni 2.3 wa Gaza wametafuta hifadhi huko Rafah, ambapo Israel imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga karibu kila siku, huku
Iringa. Salamu ya Mhandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kutoka Tamisemi, Emmanuel Mhiliwa ya ‘Kihesa Mgagao hoyeee’ na kujibiwa ‘hoi’ ilitosha kuonyesha wananchi wamekasirika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Baraza la mpito nchini Haiti limechukua mamlaka rasmi nchini humo katika hafla iliyofanyika hapo jana baada ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu na
Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni shurti ainame, na vijana wa sasa wanasema anaweza inua kitanda, uchaguzi ni wako, uiname au uinue kitanda… hebu twende pamoja.
Na Mwandishi Wetu, Arusha KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo
Bukoba. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamkende iliyopo Kijiji cha Nyamkende Wilaya ya Ngara, Enock Mabula, aliyefungwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa
Handeni. Mahakama ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, imewahukumu kifungo cha maisha jela wakazi wawili wa Kata ya Kabuku Ndani, Rashid Selemani (42) na Ramia
Ileje. Mkuu wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa vijiji kusimamia wananchi kutotumia vyandarua kujengea bustani za mbogamboga. Mgomi ametoa agizo
Dar es Salaam. Umewahi kukutana na mfanyakazi ambaye muda wote mezani kwake kuna kikombe cha kahawa? Kadhalika, umewahi kujiuliza kwa nini katika ofisi nyingi unaweza