Mwanza. Wakati baadhi ya wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi vya intaneti kuwa juu, Shirika la Mawasiliano nchini (TTCL) limeanza kupanua mkongo wa Taifa na kuuongezea
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali zote za Tanzania na Zanzibar mbili zinaendelea kuchukua hatua mbalimbali kushughulikia na kupata ufumbuzi wa changamoto
Unguja. Zanzibar inakabiliwa na ukosefu wa mafuta ya Petroli kwa siku mbili mfululizo na kusababisha adha kwa wananchi wanaohitaji nishati hiyo. Tatizo hilo limeanza Aprili
Unguja. Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watuhumiwa 21 wakidaiwa kujihusisha na matukio ya wizi, uporaji na unyang’anyi wa kutumia mapanga. Watuhumiwa wamekamatwa baada ya
Unguja. Licha ya huduma ya mafuta ya petrol kuanza kupatikana usiku wa kuamkia leo Jumatano, Aprili 17, 2024 kisiwani Unguja, bado hofu imeendelea kuibuka kutokana
MAMA mzazi wa kipa wa Simba, Hussein Abel, Mwaija Husein Fadhir amekiri kuwa yeye ni Yanga damu lakini hilo halihusiani na kazin ya mwanae. Amesema
Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali
Mbeya. Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo Kuu la Magharibi (KMT-JKM), Dk Alinikisa Cheyo amepata mrithi wake baada ya Mchungaji Robert Pangani
Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’