Moshi. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Benedicto Petro aliyeongoza timu ya makachero kuwakamata washtakiwa wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, ameeleza namna walivyomkamata mshtakiwa wa
BEKI wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuna jambo amejifunza kutokana na kupata nafasi ya kucheza nje kwa awamu mbili tofauti,
Arusha. “Siku zote nimekuwa nikiamini huyu baba mzalendo wa kweli amekuwa na dhamana kubwa katika maisha yangu, naona Mungu alimtuma ninyanyuke katika familia yetu ya
ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Ankara cha nchini Uturuki, kimemtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Shahada
Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 54 baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufanya maandamano ya amani katika mikoa ya Dar es Salaam,
NILETEENI wachezaji wa maana’. Ndivyo alivyoagiza mchezaji wa zamani wa Lille ya Ufaransa, Souleymane Youla ambaye Juni mwaka huu, atatua nchini akiongoza jopo la maskauti
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WAFANYABIASHARA wa bidhaa za Vipodozi nchini wametakiwa kufanya maombi ya usajili wa bidhaa hizo kabla ya kuziingiza katika soko la
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na
Mtwara. Tani 244,680 za korosho ghafi zenye thamani ya Sh454 bilioni zimezalishwa nchini huku tani 229,544 zikisafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Bandari ya Mtwara