Wakati Ibrahima Konaté (25) ana furaha katika Liverpool FC, hata licha ya kuondoka kwa Jürgen Klopp, Mfaransa huyo amebakiza miaka miwili tu kwenye mkataba wake.

Dar es Salaam. Ili kukabiliana na tatizo la usafiri kwa wakazi wa Mbezi wanaokwenda maeneo ya Mjini kupitia Barabara ya Morogoro, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri

Na Mwandishi Wetu Urus Tanzania, ambayo ni kampuni tanzu ya Urus global, inayojishughulisha na usambazaji wa mbegu bora za ng’ombe wa maziwa na nyama duniani,imewashauri

OLIPA ASSAMWANASPOTI limepata taarifa za beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kupelekewa ofa na klabu za ndani ya DR Congo kama TP Mazembe, AS Vita, FC Lupopo,

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry

Barcelona wanawinda kiungo wa kati msimu huu wa joto kuchukua nafasi ya Sergio Busquets, baada ya juhudi zao za kufanya hivyo wakiwa na Oriol Romeu

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amempongea Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kichaguliwa kurithi mikoba yake, katika

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametaja mambo matatu anayotamani yangepewa kipaumbele kwenye Katiba mpya ikiwamo wasomi wanaomaliza vyuo

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro KATIBU Tawala wa wilaya ya Same, Upendo Wella nidhamu ni jambo la msingi katika michezo, hivyo amewaombe wanafunzi ambao wanakwenda kushiriki

MWANAMITINDO na mwanamuziki, Hamisa Mobetto amefafanua kuhusu ukaribu wake na mchezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na kuzungumzia pia uvumi kwamba ana uhusiano na kigogo