Mbarali. “Ni kama picha ya kuigiza kumbe kweli nimepitia vipindi vigumu katika maisha ya mahusiano, nimeambulia vipigo manyanyaso, kunyimwa unyumba na hata kutelekezewa familia.” Ni

BAADA ya kuwepo kwa tetesi za nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta, kuandika barua ya kustaafu kuitumikia timu hiyo, baba wa supastaa huyo ameibuka na

Umekuwa msimu mgumu kwa Dayot Upamecano (25), ambaye siku zote amekuwa akionyesha kiwango bora kabisa akiwa na Bayern Munich. Kulingana na L’Équipe, beki huyo wa

Matokeo ambayo yanaweza kuwa mabadiliko makubwa ya kisiasa tangu mwisho wa ubaguzi wa rangi. Kulingana na takwimu za tume ya uchaguzi, kufikia sasa asilimia 11.3

Dar es Salaam. Zikiwa zimepita wiki tatu tangu Lilenga Lilenga, mkazi wa Mwandiga mkoani Kigoma kudaiwa kuchukuliwa na watu wanaodaiwa ni polisi, Kamanda wa Polisi

Theo Hernández (26) anatazamia kuondoka AC Milan msimu huu wa joto na kuchukua hatua inayofuata katika maisha yake ya soka, kulingana na ripoti kutoka L’Équipe.

Simiyu. Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti, Gimbi Masaba ameshindwa kutetea nafasi ya mwenyekiti wa kanda hiyo baada ya

Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa

Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na

Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo. Waziri