Leonardo Bonucci, mwanasoka mashuhuri wa Italia, alitangaza kustaafu kutoka kwa mchezo huo mnamo Mei 28, 2024. Bonucci, aliyezaliwa Mei 1, 1987, huko Arrese, Italia, alianza

Na Munir Shemweta, MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati Milki za ardhi kuhakikisha wanazitunza

Sonia Bompastor anatamani kuendeleza kazi nzuri ya aliyekuwa kocha mkuu wa Chelsea Women Emma Hayes baada ya kutangazwa kuwa mrithi wake. Bompastor, ambaye hapo awali

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Chande (Mb.) amewaasa maafisa ununuzi wa taasasi za Serikali kuhakikisha kuwa shughuli zote za ununuzi wa umma zinafanyika katika

Korea Kaskazini yarusha makombora ya masafa mafupi ya balestikiKorea Kusini na Marekani zinashutumu uzinduzi na kuitaka Pyongyang ‘kujiepusha na vitendo vingine visivyo halali na vya

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka walimu wenye madai ya malimbikizo ya mishahara (arrears) kuwasilisha vielelezo

Manchester United inakusudia kumuuza Mason Greenwood msimu huu wa joto, lakini bado haijabainika ni vilabu gani vikubwa viko tayari kutoa ofa inayokubalika kwa mshambuliaji huyo

Huwezi kununua gari kwa sasa, aliongea Cath huku akiwa amekaza macho bila kuyapepesa. Siwezi kushindwa kununua gari wakati ninafanya kazi na ninalipwa mshahara, akajibu Juma.

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina amesema Tanzania inaripotiwa kutorosha nje ya nchi zaidi ya Tsh Trilioni 3.5

Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa