Na Mwandishi wetu MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umetoa mafunzo kwa waandishi wa habari 24 kutoka vyombo vya habari ngazi ya kijamii ambayo yamelenga kuongeza

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku saba, Jamhuri ya Korea, kufuatia mwaliko wa

Njombe. Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu ameibuka mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya

NA MWANDISHI WETU KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi.

CHUO cha Afya cha KAM College kilichopo Kimara jijini Dar es salaam ambacho kimebobea kwenye mafunzo ya sekta ya afya, kimepongeza juhudi za serikali katika

Unguja. Sakata la madhara yanayosababishwa na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) limeibukia katika Baraza la Wawakilishi, ikielezwa kuna utafiti unaonyesha kinywaji hicho ni hatari

Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA imekabidhi vifaa vya shule na vya ofisi katika Shule ya Msingi Mnete iliyopo mkoani Mtwara ikiwa ni msaada kwa

KAMA ulidhani ishu ya udanganyifu wa umri ipo katika ngazi ya juu tu ya soka la Tanzania, basi ulikuwa unajidanganya, unaambiwa zaidi ya wachezaji 10

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa