Na Leandra Gabriel, Michuzi TV SERIKALI Ya Ufaransa kupitia Ubalozi wake wa Tanzania umedhamiria kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania pamoja na sekta binafsi katika

Wananchi wa Afrika Kusini leo Jumatano wamepiga kura katika uchaguzi mkuu ambao umetajwa kuwa ni muhimu sana kwa nchi hiyo katika kipindi chote cha miaka

Suala kubwa ambalo lilitawala mazungumzo kati ya Scholz na Macron ni vita vinavyoendekea nchini Ukraine. Scholz alisema wanataka kuendelea kuisadia Ukraine kisiasa, kifedha, kijeshi na kwa

Dodoma. Bei ya vocha za simu za kukwangua zimepanda nchini kutoka Sh1,000 hadi Sh1,200 huku Serikali ikiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhakikisha watoa huduma

KIPA wa Coastal Union ya Tanga, Ley Matampi amefunguka siri ya mafanikio yake ya kuongoza kwa clean sheet, akimtaja kipa wa Yanga Djigui Diarra ambaye

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma jana tarehe 28 Mei, 2024 aliungana na Majaji Wakuu kutoka nchi mbalimbali Duniani katika maadhimisho ya

Njombe. Ikiwa inaelekea uchaguzi wa kuwapata Mwenyekiti, Makamu na Mweka Hazina wa Chadema Kanda ya Nyasa, vurugu zimeibuka na kusababisha mvutano baina ya makada wa

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora akipachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili. Fei

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama

Inter Milan iko tayari kupeleka ofa kwa Manchester United kwa ajili ya kumnunua beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka. Kulingana na chombo cha habari cha Italia