NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Benki ya CRDB tawi la Kibaha katika kumuunga mkono Rais wa awamu ya sita Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa elimu ya fedha kwa

Na Grace Mwakalinga, Mtanzania Digital SHIRIKA la Organization for Community Engagement (OCE), limeiomba Serikali kufanya tathmini ya athari za kimazingira zinazoweza kutokea kutokana na ujenzi

Jeshi la Israel limesema hayo baada ya taarifa ya Wizara ya afya na idara ya Ulinzi Gaza inayoongozwa na Hamas kuripoti kuwa watu arobaini na

Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ametoa agizo kwa mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhakikisha wanatoa taarifa za barabara

KATIKA mazingira ya kupendeza ya Mkoa wa Geita, iko habari njema yenye kutia matumaini kwa waliokata tamaa na pengine kutengwa na jamii. Shujaa wa habari

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameweka wazi kilichomuumiza na kumkwamisha msimu huu katika kupambana kufikia malengo aliyojiwekea. Muivory Coast huyo aliyejizolea umaarufu kwa mashabiki

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, na Shirikisho la Kandanda barani Ulaya, UEFA “walitumia vibaya nafasi zao kuu” na “kuzuia ushindani” kwa kukataa kuundwa kwa Ligi

Dar es Salaam. Safari ya Miaka 20 ya mburudishaji Carlos Bastos Mella ambaye yupo nyuma ya maeneo mengi ya burudani jijini Dar es Salaam, ameshauri

Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza imeridhishwa na ukamilishwaji wa mradi wa maji wa Butimba na ufanisi wake.