Na Mwandishi Wetu,Ngengere MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Hamis Taletale kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas wamekabidhi mitungi ya gesi na majiko

Sehemu kubwa ya kijiji cha Yambali kilichoko mkoa wa Enga ilifunikwa baada ya kuporomoka kwa mlima Mungalo majira ya asubuhi siku ya Ijumaa na kusomba majumba

Dodoma. Wakati wabunge wakihoji malimbikizo ya madeni ya mishahara na stahiki nyingine za watumishi wa umma, Serikali imesema imetumia Sh219 bilioni kulipa madeni ya mishahara

Na Mwandishi Wetu, Ngerengere MITUNGI 800 ya gesi ya Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ikiwa na makiko yake, imetolewa bure kwa wananchi wa Jimbo Morogoro

Na.Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi

Zaidi ya watu 2,000 wanahofiwa kuzikwa katika maporomoko ya udongo ya Papua New Guinea yaliyoharibu kijiji cha mbali cha nyanda za juu, serikali ilisema Jumatatu,

WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe 31 Julai,

Dodoma. Sakata la Toto Afya Kadi limetinga tena bungeni na Serikali imeendelea kusisitiza msimamo wake kuwa kilichobadilika ni utaratibu wa kujiunga kupitia makundi, badala ya

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo

SERIKALI imesema kuanzia Mei mwaka 2021 hadi sasa imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 132,611 yenye thamani ya Sh 219.7 bilioni. Aidha, imetoa