Dodoma. Wakati wabunge kesho Jumatatu, Mei 27, 2024 wakihitimisha mjadala mkali wa changamoto ya migogoro ya ardhi, wiki itakuwa na bajeti tatu ikiwamo ya Wizara

WACHEZAJI wa gofu kutoka klabu mbalimbali nchini, wameanza kujinoa kwa ajili ya mashindano, yanayotarajia kufanyika Morogoro Gymkaha, kuanzia Juni 14 hadi 16. Mashindano hayo yapo

Bukoba. Wakati Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) kikimtangaza Ezekia Wenje kuwa mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, mshindani wake wa karibu, John Pambalu ametoweka ukumbini

JUMAPILI ya leo tutashuhudia mitanange kibao ambayo itamalizika kuanzia kule, Hispania, Italia na kwingineko. Huku Meridianbet wao wanakwambia piga pesa sasa huu ndio ndo wakati

INAWEZEKANA hii ikawa ni mara yako ya kwanza kumsikia beki wa kulia wa Macarthur FC, Kealey Adamson anayecheza soka la kulipwa Australia. Kama ni hivyo

Na WMJJWM, Njombe Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Dotto Biteko amesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wanaume katika kutafuta msaada wa

Dar/mikoani. Usalama wa zaidi ya watu 60,000 wanaotumia huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni kila siku upo shakani. Mashaka ya usalama wa watu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 26 Mei 2024 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kikosi cha Simba bado kipo jijini Arusha kwa ajili ya pambano la mwisho la Ligi Kuu Bara ili kujua hatma ya ushiriki wa timu hiyo katika

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kutumia fursa