Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kutumia fursa

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha mawasiliano ya barabara

Ngorongoro. Serikali imesema hadi sasa kaya 1,373 zenye jumla ya watu 8,364 waliokuwa na makazi ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)

Waziri Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa vinjwaji vya Kampuni ya Bia ya Heineken. Hafla hiyo imefanyika

Mtwara. Baraza la Madiwani Manispaa ya Mtwara Mikindani, limebatilisha uhalali wa umiliki wa kiwanja katika eneo la Shangani Mashariki linalotajwa kumilikiwa na mbunge wa Mtwara

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mihayo iliyopo mkoani Tabora leo tarehe 26

Arusha. Elimu ya ubunifu imetajwa kuwa suluhisho la kukabiliana na tatizo la ajira linalowakumba vijana wengi wanaohitimu masomo hapa nchini. Hayo yameelezwa leo Jumapili Mei

Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), wanajivunia

Dar es Salaam. Ili kudhibiti kuenea kwa Ukimwi Tanzania wadau wa maendeleo na ustawi wa jamii, wamezindua kampeni ya kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia

Tanzania yaungana na nchi wanachama wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kupitisha na kusaini Mkataba wa kihistoria wa kimataifa kuhusu Miliki Ubunifu, Rasilimali za