Morogoro. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro Alex Mkama amesema wanamshikilia dereva wa basi la Shabiby namba T341 EEU, Said Malugula mkazi wa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki amesema miongoni mwa viashiria vya kuvunjika kwa amani barani Afrika ni nchi wanachama

Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha Furahika Dkt.David Msuya akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ,jijini Dar es Salaam. *Yatoa

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya Tanzania ni kukuza na kuendeleza amani na usalama barani Afrika ili kukuza na kuendeleza maendeleo ya

Baadhi ya wanafunzi wa VETA walioshiriki katika mkutano wa Madini. Na Mwandishi Wetu Wawekezaji Sekta ya Madini wameelekezwa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosoma fani zinazohusu

Karatu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Dadi Kolimba kusimamia kazi ya kutoa maji na kujenga mitaro ifanyike

NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard

BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Coastal Union dhidi ya Kagera ugenini, leo Mei 25 itakuwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga kuikaribisha

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Geita Gold na Singida Fountain Gate utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida utakuwa ni vita ya