Unguja. Ili kuimarisha miundombinu, kuinua kiwango cha elimu na kuondoa utaratibu wa mikondo miwili ya asubuhi na jioni, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,

Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Angellah Kairuki amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa

Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Rebecca Nsemwa ametoa Wito kwa wafanyakazi kuwa na utamaduni wa Kufanya mazoezi mara kwahe mara Ili kuepukana na magonjwa

Dar/mikoani. Wakati msimu wa mvua ukimalizika ukitajwa kuwa chanzo cha baadhi ya bidhaa za mbogamboga kupanda bei sokoni, kumeibuka sababu mpya madalali na walanguzi wa

Katibu tawala mkoa wa Morogoro Dokta Mussa Ally Mussa amesema licha ya kukumbana na Changamoto mbalimbali lakini wamekua wakitoa huduma Bora Kwa wagonjwa ambapo amewataka

Iringa. Kama hujafanya mawasiliano ikiwamo kuaga ndugu, jamaa na marafiki kabla ya kufika Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, ujue ukifika huko simu yako haitakuwa na

# Ni Madaktari Bingwa wa Samia#Kwenda Kujifunza hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya, imeendelea kushiriki katika kukuza na kuimarisha ubora

Mkuu wa wilaya ya Mkinga Gilbert Kalima amewataka viongozi wa serikali za mitaa,kata,tarafa na wilaya kuhakikisha wanatumia matokeo ya sensa katika kupanga mipango endelevu ya

Dar es Salaam. Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Penina Methody (27) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa ni panga, chanzo kikidaiwa

Kibaha. Watu 1,627 waliokutwa na ugonjwa wa vikope kwenye halmashauri tatu za Mkoa wa Pwani wameendelea kupata matibabu ili kuepuka upofu. Idadi hiyo imebainika kufuatia