NA filimbi ya mwisho itapigwa na mwamuzi wa pambano la baadaye leo kati ya Manchester United na Manchester City. Mwamuzi atakayepuliza filimbi hiyo ni Andrew

Dar es Salaam. Uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe, uliowakutanisha Rose Mayemba na Ahadi Tweve umevunjika baada ya kutokea ugomvi baina ya pande

Dodoma. Wabunge wamecharuka kuhusu migogoro ya ardhi na ucheleweshaji wa fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo kwa ajili ya miradi. Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara

Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka wazazi wa vijana wanaoitwa kujiunga na mafunzo kwa mujibu wa sheria mwaka 2024 wasikubali kutapeliwa kwa kutozwa fedha.

Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewataka wafanyabiashara mkoani humo, kuachana na migomo kabla ya kufanya mazungumzo na viongozi wa mamlaka. Amesema kufanya

Mwanza. Ili kukabiliana na changamoto ya ajira nchini, Serikali kupitia Wizara ya Uvuvi na Mifugo, imetenga Sh10.5 bilioni kwa ajili ya kuwezesha mitaji na miradi

SIMBA wana Ladack Chasambi wamoto na KMC wanatambia Wazir Junior. Shughuli ipo kesho kwenye Uwanjwa Sheikh Amri Abeid. Ni wachezaji wawili wazawa ambao katika wiki

Dar es Salaam. Wajumbe wa mkutano mkuu wa kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wana kibarua kigumu cha kuamua kina nani wawe

Dar es Salaam. Uongozi bora, taasisi imara na uwezeshaji wananchi kiuchumi, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa msingi wa ulinzi wa amani na usalama wa

Kamishna wa Bima Dkt.Baghayo Saqware amewataka wamiliki wa gereji za kutengeneza magari, kujisajili katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ili kuepusha changamoto ikiwemo