Lindi. Wananchi wilayani Kilwa Masoko wameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Lindi kuongeza kasi ya ukarabati ili kurejesha mawasiliano katika Barabara ya

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kwa

Siha. Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kapteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia

Dar es Salaam. Kama unadhani msingi wa uponyaji wa maradhi yoyote yanayokusibu ni kununua dawa katika duka la dawa au hospitali unakosea, wakati mwingine huhitaji

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Viti MAALUM Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Esther Maleko ameipongeza Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa mchango wao mkubwa wa

Dar es Salaam. Wanawake hususani vijana wametakiwa kutumia fursa za ukuaji wa teknolojia na matumizi ya kidijitali kutatua changamoto zinazoikabili jamii. Hilo likifanyika, imeelezwa ushiriki

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), kushirikiana na Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) pamoja na Bodi ya Usajili wa

Dodoma. Mafundi sanifu nchini wameiomba Serikali kuitambua kada hiyo kwenye ngazi ya shahada za uzamili na uzamivu wakieleza wanalazimika kubadilisha fani kwenda kwenye uhandisi ili

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Ziwa limeteketeza tani saba ya bidhaa zisizokidhi matakwa ya viwango ikiwemo vipodozi vyenye viambata sumu, maziwa ya watoto