WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM wameishusha rasmi Maendeleo baada ya jana kuifumua mabao 7-0 katika mechi ya ligi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa

WATU 11 wamefariki dunia huku watatu wakijeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 23 Mei 2024, kwenye kiwanda cha uzalishaji sukari

Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa) kuhakikisha unamaliza tatizo la kivuko cha

Na Yeremias Ngerangera …Songea. Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Meneja wa Tanesco Mkoa wa Ruvuma Eliseus Mhelela alisema vijiji vinavyopata umeme vimeongezeka kutoka

KAMA ilivyozoeleka kwa wachezaji wengi kuongelea historia zao na kusema walikuwa na vipaji tangu utotoni,wengine wakienda mbali zaidi na kusema wapo watu waliowaridhi katika familia

Serikali imesema inaendelea kufanya mazungumzo na wadau pamoja na wamiliki wa hoteli kubwa kwa ajili ya kuboresha hoteli hizo ili ziweze kukidhi viwango na hatimaye

Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wakiwemo marais wastaafu wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza Usalama na Amani la Umoja wa Afrika, yatakayojadili pia

Na. Josephine Majula, WF- Kagera Wananchi wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wizara ya Fedha kwa kuwafikishia huduma

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika

NA BALTAZAR MASHAKA,SENGEREMA KAMATI ya Siasa Mkoa wa Mwanza,imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Sengerema kwa zaidi ya sh. bilioni 20 ukiwemo wa