Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa sasa Jeshi la Polisi limekuwalikionekana kuanza kubadilika katika utendaji kazi wao huku wakibainisha

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino Augusto José

Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kwa sasa hakuna tena tishio la kimbunga Ialy katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza kukerwa na kutotekelezwa baadhi ya mipango inayopelekwa barazani kila mara na baadaye kurejeshwa kama mipya. Pia, wawakilishi hao

Zilikuwa zimesalia siku tano kufikia mwaka mzima tanguBayer Leverkusen na kocha wake chipukizi Xabi Alonso kupoteza mchezo wa soka. Uhalisia wa michezo uliidhihirikia wazi timu

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikianza utekelezaji wa kuweka mita za malipo ya huduma za maji kwa kadiri mtu anavyotumia (Luku), Shirika la WaterAid limeanza

Dodoma. Kanuni mpya za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024, zitaanza kutumika katika mwaka ujao wa fedha wa 2024/25. Inaelezwa zitapunguza muda wa

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The

Tanga. Baadhi ya wavuvi wa samaki wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Deep Sea jijini Tanga, wameshindwa kuendelea na kazi ya uvuvi kwa saa 17