Kiongozi wa Juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ameongoza mjini Tehran, ibada ya kumswalia na kutoa heshima za mwisho kwa rais Ebrahim Raisi. Inaripoti Mitandao

Serikali imesema itaendelea kujenga uelewa kwa wadau mbalimbali kuhusu Kanuni na Miongozo inayosimamia Biashara ya Kaboni. Hayo yamebainishwa leo Jumanne (Mei 21, 2024) na Waziri

Waziri wa Maji Tanzania, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ambaye yuko nchini Indonesia kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Esther Malleko ameihoji Serikali ni lini itafanya maboresho ya Sheria ya Ndoa ili ikidhi matunzo kwa watoto kwa sababu

Serikali imesema hadi sasa watumishi wa umma 25,039 wamehamia Makao Makuu ya Nchi Jijini Dodoma pamoja na Taasisi 65 ambapo inaendelea na mpango kazi wa

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Erasto Sima, akipokea vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za elimu ya fedha ikiwemo uwekaji akiba, uwekezaji, kupanga kwa

Mtangazaji maarufu wa televisheni kutoka Marekani Steve Harvey anasema kukutana na Rais William Ruto ni mojawapo ya mipango aliyokuwa nayo kwenye bodi yake ya maono.

Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema imekamilisha uandaaji wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa na hivi sasa muswada huo upo katika hatua za ndani

DAR ES SALAAM – MEI 21,2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS) Justice Rutenge, amesema katika kutekeleza Dira ya Taifa 2050 wananchi

Timu za Tanzania za wanawake na wanaume (U15) zinazoshiri michuano ya African Schools Football Championship 2024 inayoendelea Zanzibar, zimefuzu nusu fainali ya mashindano hayo. Timu