Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mjadala kuhusu matukio ya hivi karibuni ya watumishi wa Mungu kujiua, viongozi wa dini wameeleza wao pia ni binadamu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amekutana na kuzungumza na Waziri wa Nchi wa Japan anayeshughulikia Mambo ya

Khamenei ameongoza shughuli hiyo iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Tehran. Vilio na maombolezo vikisikika kutoka kwa waombolezaji waliokusanyika kwa ajili ya kuwaaga viongozi wao. Majeneza

Lushoto. Uongozi wa Shirika la Roho Mtakatifu la Kanisa katoliki, umesema utakabidhi mwili wa Frateri Rogassion Massawe kwa ndugu zake Ijumaa Mei 24, 2024 baada ya

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla

Ndege iliyombeba Rais Macron iliondoka mjini Paris mapema leo na inatarajiwa kuwasili New Caledonia kesho Alhamisi huku kiongozi huyo akitumai ziara yake inaweza kusaidia kutuliza

Dar es Salaam. Familia maskini ambazo hazikupata nafasi ya kuingia katika mpango wa kuwezesha kaya hizo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), sasa zitawezeshwa
Na Emmanuel Masaka, Michuzi TV MWENYEKITI wa Serikali za Mtaa Mbopo wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam Mohamed Bushir amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan

MKUU wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo kwa kushirikiana na kamati ya usalama ya mkoa, ametangaza vita kwa watu wanaoendekeza vitendo vya ubakaji na ukatili

Mkuu wa programu ya dharura yashirika la Madaktari wasio na mipakanchini Sudan, Claire Nicolet, amesema siku ya Jumatatu pekee waathiriwa tisa kati ya 60 waliopokelewa