BATO ya ufungaji wa mabao ya Ligi Kuu Bara, baina ya viungo Stephane Aziz Ki wa Yanga na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC,

Iran siku ya Alhamisi inajiandaa kumpumzisha aliyekuwa rais wake katika eneo takatifu zaidi kwa Waislamu wa Kishia katika Jamhuri ya Kiislamu, ikiwa ni ishara ya

Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifungua ziara ya kwanza ya kiserikali mjini Washington na kiongozi wa Afrika katika zaidi ya miaka 15 huku Rais

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia tarehe 1

George Lugata, Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania (kushoto)na Edwin Byampanju, Mwakilishi wa Samsung Tanzania wakiwa katika uzinduzi wa

Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa sasa Jeshi la Polisi limekuwalikionekana kuanza kubadilika katika utendaji kazi wao huku wakibainisha

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino Augusto José

Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kwa sasa hakuna tena tishio la kimbunga Ialy katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza kukerwa na kutotekelezwa baadhi ya mipango inayopelekwa barazani kila mara na baadaye kurejeshwa kama mipya. Pia, wawakilishi hao