Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika

Na FARIDA MANGUBE MOROGORO Watu 11 wamefariki Dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada hitilafu iliyotokea katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme katika kiwanda Cha

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametumia siku 150 kumpindua aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Jean Baleke katika ufungaji wa mabao ndani ya timu

Waisraeli walikusanyika karibu na ofisi ya Netanyahu, kutafuta mpango wa kuachiliwa ndugu na jamaa waliotekwa nyara. Mamia ya Waisraeli wameandamana mbele ya ofisi ya waziri

Singida. Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita limepata ajali na kujeruhi watu 18. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo
Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido akisalimiana na Waziri wa Madini, Antony Mavunde alipotembelea banda la Barrick akiongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali

BATO ya ufungaji wa mabao ya Ligi Kuu Bara, baina ya viungo Stephane Aziz Ki wa Yanga na Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC,

Iran siku ya Alhamisi inajiandaa kumpumzisha aliyekuwa rais wake katika eneo takatifu zaidi kwa Waislamu wa Kishia katika Jamhuri ya Kiislamu, ikiwa ni ishara ya

Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifungua ziara ya kwanza ya kiserikali mjini Washington na kiongozi wa Afrika katika zaidi ya miaka 15 huku Rais

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza kutumia Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 rasmi kuanzia tarehe 1