Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza kusaka mwarobaini kudhibiti matumizi ya simu za mkononi wakati wa muda wa kazi na kuhakikisha kunakuwa na matumizi

Unguja. Wizara ya Afya Zanzibar, imeingia mkataba na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (Unicef) wa ununuzi wa vifaa kwa ajili kuboresha huduma
Ecobank Tanzania imezindua huduma ya utoaji wa Mikopo kwa watumishi wa umma ambayo inawalenga watumishi wote wa umma nchini ili kufikia malengo yao ambayo wamejiwakea

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundatio wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye

Arusha. Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wanatarajiwa kukutana hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine watamthibitisha katibu mkuu mpya wa Jumuiya

NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Mbalizi-Mkwajuni kwa kiwango cha lami yenye urefu wa

HAIJAISHA hadi iishe, hivi ndio unaweza kusema baada ya kocha wa Yanga kutangaza vita kwenye mechi tatu zilizobaki ikiwemo ya kesho dhidi ya Dodoma Jiji

Waziri mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameahidi kulipa fidia ya paundi bilioni 10 sawa na Sh 32.9 trilioni kwa watu waliowekewa damu yenye maambukizi ya

Unguja. Baada ya kutokea vifo vya mara kwa mara vinavyotokana na ulaji wa samaki aina ya kasa, sasa utafanyika utafiti wa sumu asili (Biotoxin) zilizomo

MTAYARISHAJI wa muziki na msanii wa muziki kutoka lebo kubwa ya muziki nchini Nigeria, Chocolate City, Young Jonn anatarajiwa kuachia albamu yake ya kwanza, iitwayo