Geita. Jeshi la Polisi Mkoani Geita limewakamata watu 567 wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya mauaji, ubakaji, kukutwa na mali za wizi pamoja na dawa

Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon,akizungumza wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu

Dodoma. Safari ya Serikali kuhamia jijini hapa itakamilika baada ya mpango kazi maalumu na ujenzi wa awamu ya pili wa majengo ya ofisi za wizara

NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewaonya watendaji wa Serikali wajikite zaidi kwenye kutimiza wajibu wao kutatua kero

Mkurugenzi wa Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Rashid Mfaume, akifungua mkutano wakati wa Utambulisho wa Mradi wa Huduma na Matibabu

Kwa muda mrefu wananchi wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo wameteseka kwa kusafiri umbali mrefu au kuzunguka kwenye mapori ya miwa

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Dkt Medard Kalemani akiongoza semina hiyo. Na.Alex Sonna-DODOMA WABUNGE wa Jamhuri ya

Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais Rachel Ruto waliwasili Atlanta, Georgia, Marekani siku ya Jumatatu (Mei. 20) kabla ya ziara ya kiserikali

Benki ya NMB imepata idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CSMA) kuwa wakala wa madalali wa