Kiongozi wa ngazi ya juu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amemteua makamu wa kwanza wa rais wa Iran, Mohammad Mokhber, kuwa rais kufuatia kifo cha

Kocha Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema ameshangazwa na matokeo waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA), akieleza kuwa

SERIKALI imesema kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sasa jumla ya watumishi 375,904 wamepandishwa vyeo wakiwemo watumishi 85,471 walioathirika na zoezi la uhakiki katika kipindi

BAADA ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho, Kocha wa Azam, Youssouph Dabo amesema kazi bado haijaisha kwani msimu huu wanalitaka kombe la michuano hiyo.

Wakati taratibu za mazishi ya Rais wa Iran, Ebrahim Raisi zikiendelea, Makamu wa Rais Mohammad Mokhber anayetarajiwa kurithi nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba ya

Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji

Wakala wa Mbegu za kilimo ASA inatarajia kuanza kutibu Udongo kwa Mashamba yake yenye upungufu wa virutubisho vya Udongo. Hayo yamsemwa na Mtendaji Mkuu

Iran. Televisheni ya taifa ya Iran imethibitisha kifo cha Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki dunia kwenye ajali ya helkopta iliyotokea hapo jana Mei

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na maofisa wengine wa serikali wamepatikana wakiwa wamefariki katika eneo la ajali

RAIS wa Iran Ebrahim Raisi (63,) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kutoka Kaskazini Magharibi mwa Nchi hiyo kuanguka AFP