Arusha. Tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma, zimekiweka shakani kibarua watendaji wa Jiji la Arusha wakiongozwa

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud amesema umefika wakati Wazanzibari kujiamulia na kupanga mipango yao wenyewe ili watu wake waishi kwa uhuru.

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kimbunga Ialy kinachovuma kaskazini mwa kisiwa cha Madagscar, ambacho awali kilidaiwa kingeishia baharini, kinaendelea

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amesema Tanzania haitachoka kupeleka askari wake kulinda amani katika nchi

Na Mwandishi wetu, Arusha KAMPUNI ya Barrick nchini, imedhamini na kushiriki katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza

Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeyatupa maombi ya askari wa Jeshi la Magereza aliyefutwa kazi mwaka 2022, Joel Runda Marivei ya kutaka Mahakama ifute

China imesema itaendelea kufadhili miradi mipya ya kimkakati ya Tanzania inayoendelea, baada ya kuridhishwa na utekelezwaji ya miradi ya awali. Mkuu wa Shirika la Kimataifa

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na malalamiko ya kupanda kwa bei za bidhaa za chakula kutokana na kupaa kwa mafuta ya dizeli na petroli, huenda

Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi imeripotiwa kuanguka baada ya kupata shida katika kutua. Kwa mujibu wa televisheni ya Taifa ya Iran, helikopta

YANGA nzima jana ilikuwa Arusha ikitafuta tiketi ya kucheza fainali ya tano ya Kombe la Shirikisho (FA) ndani ya miaka tisa, lakini mabosi wake wakirudi